Podcast
JUKWAA LA KUUZA FILAMU, MUZIKI, HADITHI, VITABU,MAKALA, MAFUNZO N.K
Eng. Kabenda Balete
Karibu katika jukwaa la wajasiriamali ambalo linakuwezesha wewe kama creator kuuza huduma yako kwa wafuasi wako walio tapakaa katika nchi nzima kwa urahisi na kuweza kujiingizia kipato cha kudumu na cha kila mwezi. Iwe ni filamu, vichekesho, simulizi, masomo ya kidato cha kwanza hadi cha sita, vitabu(e-books), muziki, mafunzo mbali mbali ya kitaluma(proffesional trainings) n.k hapa ndo nyumbani kwako.
Episodes
0
Indexing this feedEpisodes will appear here as soon as the worker finishes.
Prefer another app? Listen on Apple Podcasts ↗