Karibu SWAHILI NOMADS ambapo tunakua na mambo mengi sana ya ku-share nawe kuhusu dunia ya kidijitali. Teknolojia imeboresha vitu vingi sana, hivyo kufanya maisha ya sasa kuwa mepesi zaidi, haswa kwa vijana tunaoishi na dunia viganjani mwetu. Fursa hizo ni kama ufanyaji kazi mtandaoni (Freelancing), Affiliate marketing, media buying, trading na mambo mengine mengi sana. Fursa hizo utazisikia wapi? Karibu SWAHILI NOMADS - Let's Talk Uchumi na fursa za kidijitali.
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.