← Talisman Brisé
Talisman Brisé podcast cover

January 15, 2012

Kwame mtunza bustani yuko katika bustani mara wageni wanaingia.

Kwamé, mtunza bustani kwenye kituo cha utafiti wa kilimo, Gorom Gorom, anahadithia hadithi yake kwa shangazi yake: Huku akiwa  anafanya kazi kwenye bustani, bosi wake, Profesa Omar anatekwa nyara huku yeye akishuhudia...(Sehemu za harakati - uhoga).

Also available on Apple Podcasts